MUSSA GUETTA
Member
- Oct 11, 2015
- 38
- 2
jaman naomba msaada wa mawazo...nlpangwa na tcu st joseph bachelor of computer engineering sasa nmefanya transfer to hubert kairuk kuchukua medicine...tatizo mkopo niliopewa n wa computer engineering...naomba mnisaidie mawazo je ninaweza kuappeal helsb coz ada ya MD n kubwa sana ukilinganisha na mkopo niliopewa na MD n special faculty...tafadhalin mweny ushaur plz