Transfer Window 2014/2015, Special thread

sasa kazi ipo pale la liga siku watakapo kutana na pepe ngumi mtu
 
-Kiungo wa Real Madrid na Ujerumani Sami Khedira (27) anakaribia kutua Arsenal baada ya kukataa kuongeza mkataba wake Real Madrid
-Mshambuliaji wa QPR na Ufaransa Loic Remy (27) naye huenda akatua Arsenal by next week kwa dau la £8.
 
Hata tulipomuuza Torres kwenda chelsea na kumnunua Suarez mlisema hivyo hivyo lakini nadhani mwisho wake mmeuona. Lakini kama haitoshi hata tulipomnunua Handerson,Coutinho,Sturridge na kumpandisha Sterling pia mliongea hivyo hivyo.
Nadhani huu ni muda wa kutizama maajabu ya Rodgers. He is a really football genius.

"Nlikuwepo":bolt:
 
Wilfried Bony (25) anawindwa na Liverpool na Tottenham. Swansea imesema haondoki mtu bila £20m kumwagwa mezani.
 
DIRISHA LA USAJILI LIPO WAZI HADI TAREHE 1 SEPTEMBA, 2014.[/B][/COLOR][/SIZE]
View attachment 170312View attachment 170211View attachment 170212View attachment 170217View attachment 170214View attachment 170218View attachment 170314

MANUTD
- Beki wa Arsenal Thomas Vermaelen (28) anakaribia kutua ManUtd kwa dau la 11m.
- mpiganaji Angel di Maria anawaniwa na ManUtd kwa dau la £47m.
- Beki kinda Luke Shaw (19) ametua ManUtd kwa dau la £27m, kwa mkataba wa miaka 5 na mshahara wa £100,000 kwa wiki. Luke Shaw anakuwa kinda ghali zaidi ndani ya EPL.
- Kiungo wa Athelic Bilbao Ander Herrera (25) amehamia ManUtd kwa dau la £29m kwa mkataba wa miaka 5.
- Winga anayetisha duniani Arjen Roben (30) wa Bayern anawaniwa kwa dau la £40m.
- Bastian Schweinsteiger, Man U msimu ujao itatisha xana!
 
Liverpool walivyo wa ajabu wamemuuza Luis Suarez na kumnunua Rickie Lambert!!!! wonders shall never end at Anfield.

bora ubaki kwenye siasa, lambert alinunuliwa hata kabla ya wc

surely huna knowledge ya unachojaribu kusema
 
bora ubaki kwenye siasa, lambert alinunuliwa hata kabla ya wc

surely huna knowledge ya unachojaribu kusema

Sikuwahi kujua kwamba una mawazo duni kiasi hiki.

Rickie Lambert amenunuliwa ikiwa ni maandalizi ya kuondoka kwa Suarez. Kama vile Barcelona walivyomuuza Sanchez ili kutoa fursa ya kusajiliwa kwa Suarez.
Na hii ni kawaida kwa klabu za ulaya na marekani kuuza ama kununua mchezaji fulani wakati wanapotaka kumsahjili ama kumuuza mchezaji fulani katika timu yao.
Siku nyingine usikurupuke arifu siasa tunafanya na pia tunaspotilika bila wasiwasi.
 

sio kweli kabisa... Liverpool had about 60M to buy even before Suarez saga, and the purpose was to balance the squad and add a few quality players, plus getting weight off some players kwa ajili ya four tournaments.

with or without Suarez, lambert would sign... additional signings such as Markovic, a new striker and possibly one more attacking midfield ndio zinakava for a departed suarez

you can never replace suarez, at most you can only be able to reorganize.... and that is what liverpool are doingTelling me about buying and selling strategy as if ni new and novel discovery... it is just basic

Naomba nisikujibu tena sina nguvu kama zako za kwenye siasa... kule kunakufaa zaidi
 
Mpango wa ManUtd kumnyakua Arturo Vidal (27) umeingia mdudu baada ya vigogo Bayern Munich kutangaza rasmi wanamtaka ili kuziba pengo la Toni Kroos anayekwenda Real Madrid. Bei ya Vidal ni £40m.
 
Mpango wa Sami Khedira kuhamia Arsenal umekwama baada ya kiungo huyo kudai mshahara wa £150,000 + bonuses, kitu ambacho hakifikiriki kabisa kwenye sera za Gunners.
Kwa sasa wachezaji ghali zaidi Arsenal ni Sanchez na Ozil wanaolipwa £130,000 kwa wiki.
 
Mourinho anakamilisha usajili wa beki mpya wa kushoto Filipe Luis (28) kutoka Atletico Madrid kwa kitita cha £20m.
 
Wakuu the window is open not to players only hata mashabiki wa Manure i.e. Nzi, Belo et al wanaweza kuhamia timu nyingine kabla kitale hakijaanza khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee mambo ya kushabikia timu inayocheza kila alihamisi watayakwepa ..... ...... ..... .. . Invisible, Peasant's and Mungiki Brother all are welcome to join other teams .. ... .... . Padri bandia Rev. Kishoka upo? Idimi, Eqlpzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz Game Theory, Alex Chamberlain et al na wale waliojaribu kubadili majina kama vinyonga ili wasijulikane EMT (Former Loserfools) et al. njooni na majina yenu ya zamani bana EPL ndio kwanza imeliza la mgambo. Mtaalam, Steve Dee, Kana ka nsungu, Senator, Icadon Mwl kichuguu ingawaje sio sana ..... ..... come back guys.

Zawadi ya £10 kwa kila member atakayerudi kwa jina la zamani ... ... ... it isn't fools day you know!

 
Ooops I forgot wale wanaoshabikia timu za vichochoroni ...... ....... Gang Chomba et al .... .... I mean mafioso teams Rosenari .... ..... ..
 
Mlinzi Javi Manquillo wa Atletico Madrid yumo njiani kutua Arsenal kwa mkopo. Uhamisho huu utamwezesha dogo Carl Jenkinson (22) kuondoka.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…