Transfer vacancy request at ESS Utumishi

Kusema ukweli huu mfumo watumishi wengi hawauwelewi,je unaanzia vacancy request au normal transfer.

Kama ni haki ya uhamisho mbona kuna vikwazo hata kabla ya ombi kufika wa mwenye malaka ya mwisho ya kutoa uhamisho ambaye ni katibu mkuu.

Je kuna nia njema katika hili?
 
Katika kipengele cha vacancy request, mwajiri ana option ya approve/reject . Ila katika transfer request hakuna option ya ku-reject,
Oooh kumbe! Kama IPO hivyo hapo sawa nimekuelewa kwa njia hii mwajiri hawezi ku comment tofauti coz aluridhia mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…