Abuu Hafswa
Member
- Sep 29, 2016
- 82
- 19
NAULIZA KAMA KUNA UWEZEKANO WA KUFANYA TRANSFER YA CHUO KWA MWAKA WA PILI?
hakunaga kitu kama hichoNAULIZA KAMA KUNA UWEZEKANO WA KUFANYA TRANSFER YA CHUO KWA MWAKA WA PILI?
Inawezekana ,nenda chuo unachotaka kuhamia ukaangalie nafasi ukipata watakupa utaratibu mara nyingi inahusisha kwenda TCU . Changamoto ni kuuhamisha mkopo,unaweza soma mwaka mzima pesa haijahamaNAULIZA KAMA KUNA UWEZEKANO WA KUFANYA TRANSFER YA CHUO KWA MWAKA WA PILI?
Next time usijibu kama huna uhakikahakunaga kitu kama hicho
Unakuwa hupatiInawezekana ,nenda chuo unachotaka kuhamia ukaangalie nafasi ukipata watakupa utaratibu mara nyingi inahusisha kwenda TCU . Changamoto ni kuuhamisha mkopo,unaweza soma mwaka mzima pesa haijahama
Next time usijibu kama huna uhakika