wadau naomba mnishaur...iv naweza hamia chuo cha hurbert kairuki bila ya kupitia TCU i mean...niende moja kwa moja chuon nichek utaratibu..maana hawa TCU online siwaamin kabisa kwa walichonifanyia kwny udahili...nina B plain zote na ni PCB...ushaur wenu wadau...ahsanten