Tramadol caps naipenda sana

Senator jr

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2016
Posts
368
Reaction score
498
Wakuu yani kwa kaz ninazozifanya inanifanya nakua active sana..
1 mara moja kwa siku haina haja ya bangi wala pombe..
 
Wakuu yani kwa kaz ninazozifanya inanifanya nakua active sana..
1 mara moja kwa siku haina haja ya bangi wala pombe..

Wewe unapata wapi Tramadol wakati ni Prescription Only Medicine?
 
ndugu yangu nakushauri acha labla hayajakukuta yaliyonikuta. tramadol sio nzuri kabisa mwenzio nimepata dependance inasumbua sana unaamka asubuhi kama una homa lkn ukisha meza tu unapona sasa kuwa makin sana . afu kuna kipindi yenyewe inakuletea homa inayengeneza sumu flan mwilin inakuwa kama inakuunguza acha kabla hujafika hatua niliyo nayo mimi nimeitumia tangu 2017. acha ndugu yangu sio nzuri kabisa na ukishupaza shingo utakuja kuniambia siku moja maana hata mimi niliambiwa leo hii nalia
 
Atakua alishaacha
 
Wakuu yani kwa kaz ninazozifanya inanifanya nakua active sana..
1 mara moja kwa siku haina haja ya bangi wala pombe..
Mkuu usikatishwe tamaa...we endeleza libeneke...vp ina msaada kwene yale mambo yetu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…