ada ni laki 2 za kitanzania kwa 10 days.... tutacover njia zote za kuprint tshirts
Hahahahahahahahaaha, Nilidhani una upendo wa dhat kwa watanzania, laki 2 kuprint TSHIRTS? kuweka mchoro juu ya tsheti na kumwagia wino ndio iwe laki 2???
Wajinga ndio waliwao
mliozoea kuwaibia kwa forex... ndio mnawapenda sana watanzania.. jp markets...
unahisi wino huo unaoumwagia wanakuja nao au... na hizo plain tshirt zinazomwagiwa wino...
hizi ni kazi za jasho zinataka watu wa kazi.. sio wapenda vya bure kudownload hela huku wamekaa na laptop zao.....
mabishoo wanaoogopa kuchafuka ndio mnawaibia na forex zenu... mwisho wa siku wanawatukana mitandaoni... janja janja wa forex mwaka wenu huu
na watanzania wameshtuka forex yenu..
tsht za 7000 za manga ndio useme laki 2??? kwa kichwa???
Endelea kijana kuwapiga hizo laki 2, umekuja vizuri kweli
Wazo zuri mkuu. Lakini sidhani kama kufubdisha ntyAi au Ps ndani ya mwezi mmoja inatosha. Hata kama ni basic training. Ndiyo maana wadau wanalalamikia value for money ya hizi short trainings zako.
Ninauza Machine ya embroidery unaweza kutumia bila hata kuunganisha na Computer na Ukaprint kitu hii inawafa hata mafundi cherehani wale wakubwa: Ina Touch Screen, pia inasehemu ya kuchomeka flash
Bei 1,700,000/=
Brand (Brother ES400 bado mpya kabisaa haijawah kufanyakazi zaidi ya kutestiwa niliipokea kutoka E-bay
Tafadhari anza kuingia youtube ucheck function zake kabla ya kunitafuta Nipo Dsm hapa hapa
Nicheck hapa 0658 060 476
Mkuu sijasema kma hii machine ni kubwa hii ni kwa mtu mdgo na unaposema kwa million 1 unaongopa tukutane unipeleke hiyo sehemu nimeagiza nje mpaka inafika hapa 2.5 million acha uongo kaka cyo heat press hii pia usilete kama dharau coz mm cjakudharau ila nimechomekea hii post kwa mtu akitoka kujifunza kwako anaweza kuanza na hii mdgo mdgo ana akapata hela vile vile mpk hapo baadae akapoweza kumiliki machine ambazo heavy duty sijaweka hii post kwa lengo la kukuharibia ila kwa lengo la mtu ambaye anaanza na hana capital kubwa ndo maana sijaweka daut kwa jambo lolote uliloandika hapo zaid ya kusema nauza hii machine nafikiri umenielewa mkuuni vizuri ungeanzisha uzi jukwaa la matangazo madogo.... kwa ushauri tu brother se 400 sio kwa ajili ya commercial use.. ni for home use... huwezi ukaenda workshop ya printing ukakuta mtu anatumia brother hizo ndogo kama chereheni.. na bei yake ni haizidi usd 400 hata dar zinapatikana sana tu pale veta kwa milion 1
kwenye business tunatumia level ya kuanzia single head... na kuendelea...
Mkuu sijasema kma hii machine ni kubwa hii ni kwa mtu mdgo na unaposema kwa million 1 unaongopa tukutane unipeleke hiyo sehemu nimeagiza nje mpaka inafika hapa 2.5 million acha uongo kaka cyo heat press hii pia usilete kama dharau coz mm cjakudharau ila nimechomekea hii post kwa mtu akitoka kujifunza kwako anaweza kuanza na hii mdgo mdgo ana akapata hela vile vile mpk hapo baadae akapoweza kumiliki machine ambazo heavy duty
Mkuu usiseme sipo makini hunijui ckujui na hujui kwnn hiyo machine inauzwa imaana kila mtu anayeuza kitu chake hayupo makini hata kama hajakitumia?? hapo umefeli wangapi wamenunua magari leo na wanauza kesho.tatizo lako unapaniki unajua kwa nini imefika milion mbili na laki 5.. kwanza umenunua nchi zenye uchumi mkubwa.. unajua kama bidhaa hiyo hiyo aina moja inauzwa bei tofauti.. ikiwa nchi au sehemu tofauti... brother ni wajapan na wanafanyia manufacturing china na baadhi ya nchi za asia kama ilivyo sony... ila najua wewe hujanunulia japan.. umeagiza from europe au north america... hapo umenunua na bei ya usafiri na kodi kutokea japan hadi uko europe au usa... ilo ni kosa ambalo mfanyabiashara makini huwa halifanyi...
ukitaka bidhaa ikufikie kwa gharama nafuu nunulia asia... na safirisha kwa meli
pili umesafirisha kwa ndege kuja Tanzania.. kitu ambacho gharama ni kubwa zaidi wafanyabiashara makini wanasafirisha vitu kwa meli ... tatu TRA wamekupiga kodi kubwa maana huwa wana calculate kwa CIF ambayo yako imekuwa kubwa...
makosa umeyafanya mengi sana nakuelekeza unakasirika... na kosa kubwa kuliko yote ni kununua kitu ambacho kabla hujakitumia unataka kukiuza.. hapo unaonesha hauko makini pia..
nenda veta ulizia Mr mlokozi atakuelekeza wapi ukafate hiyo brother se 400 kama una milion moja cash