Training ya forex Dodoma

Training ya forex Dodoma

Halina mantiki yoyote swali lako maana unataka kunilisha maneno ambayo sikuyasema
sijakulisha maneno swahiba nimekuuliza tu kutokana na tangazo tarehe 22-24 unaweza kujifunza kwa siku 3 hiyo . Mbona jepesi sana hilo swali
 
sijakulisha maneno swahiba nimekuuliza tu kutokana na tangazo tarehe 22-24 unaweza kujifunza kwa siku 3 hiyo . Mbona jepesi sana hilo swali
Mimi naona wengi hawakumuelewa mdau, siku 3 zinatosha au zisiweze vievile , maana hajawa specific huenda anapeleka awareness ya Forex ambapo siku 3 siyo chache
 
Mimi naona wengi hawakumuelewa mdau, siku 3 zinatosha au zisiweze vievile , maana hajawa specific huenda anapeleka awareness ya Forex ambapo siku 3 siyo chache

Amesema hapo mafunzo yanajumuisha nini soma tena.. Halaf kadri ulivyo soma na unavyoijua figure it out [HASHTAG]#clearheadnotprogrammed[/HASHTAG]
 
Amesema hapo mafunzo yanajumuisha nini soma tena.. Halaf kadri ulivyo soma na unavyoijua figure it out [HASHTAG]#clearheadnotprogrammed[/HASHTAG]
Angalia vizuri kasema kuna lifetime mentorship
 
WADAU NAOMBENI MNIJUZE HIVI NASHERA HOTEL IKO DOM AU MORO.......ASANTENI TUSIJE TUKAANZA KUPIGWA KWA KIINGILIO TUKAWAI DOM KUMBE ISSUE IKO MORO
 
Kawalize bro kiingilio weka laki 2 wajinga ndio waliwao
 
duh matapeli mmerudi tenaaa.hahahahaha mtawapata wajinga wenzenu.wap ontario jamaa wang tukiwa ihungo boyz paleee.
[HASHTAG]#FOREX[/HASHTAG] NI UTAPELI TU
Nimetrade ada yang mpaka leo najuta ukizingatia eu ndo inanukia.
ni UE
 
hamna hela ya kumtapeli mtu sasahivi tulieni hivo hivo
 
Its another One , Tooooooooooooooch hahaaaaaaaaaaaaa



Yale,Yale

Wale, Wale




Huwezi kuwa well trained trader kwa siku 3 au wiki. Nendeni na akili kumkichwa.
 
Duuuuu 3m kwani wanafundisha kitu gani kipya zaidi mpaka kufanya bei yote hiyo aise wakati vitu viko free kabisa mtandaoni yani.
hahaha wanafundisha jinsi ya ku-download pesa mtandaoni... ukifuzu wewe kazi yako ni ku-download manoti ..🙁🙁
 
hahaha wanafundisha jinsi ya ku-download pesa mtandaoni... ukifuzu wewe kazi yako ni ku-download manoti ..🙁🙁
Hahaha Forex ni real Ndugu sema ilivyochukulia na kupokelewa kwatanzania inaonekana sivyo na hii inatokana na wadau waliokua wanaitambulisha ili watu wengine waijue.
 
Back
Top Bottom