Training ya forex Dodoma

Training ya forex Dodoma

duh matapeli mmerudi tenaaa.hahahahaha mtawapata wajinga wenzenu.wap ontario jamaa wang tukiwa ihungo boyz paleee.
[HASHTAG]#FOREX[/HASHTAG] NI UTAPELI TU
Nimetrade ada yang mpaka leo najuta ukizingatia eu ndo inanukia.
Sasa mnalia nn fanya kazi acha umburula.
 
Nimeongea nae anadai kiingilio ni Millioni 3 kwa mtu mmoja.

Kumbe kweli bana. Mwenyewe kaniambia ivoivo kiingilio 3,000,000/= kila mtu ataepeleka sehemu zake pale NASHERA HOTEL
 
Gambling haijawahi muacha mtu salama, hiyo hela mafunzo ni bora muwekeze kwenye vitu vya msingi na si kamali na shade investment kama hizi.
 
WAJE KWANGU NIWAFUNDISHE KWA LAKI NA NUSU TU tena step by step WEEK MBILI MPAKA KICHWA CHAKO KIELEWE
 
Kumbe kweli bana. Mwenyewe kaniambia ivoivo kiingilio 3,000,000/= kila mtu ataepeleka sehemu zake pale NASHERA HOTEL
Duuuuu 3m kwani wanafundisha kitu gani kipya zaidi mpaka kufanya bei yote hiyo aise wakati vitu viko free kabisa mtandaoni yani.
 
Tareh 22-24 tu Mumfundishe mtu FOREX??? K.umanina zenu, mi nilisoma semester nzima lakin bado niliona mauza uza
Kichwa chako bomu kama semester nzima Uliona mauzauza ! Pole mkuu
 
Back
Top Bottom