T tanganyika2015 Senior Member Jul 14, 2012 140 124 Jun 12, 2017 #1 Wadau mnakaribishwa kwenye haya mafunzo muhimu kwa ajili ya kuongeza thamani kwenye bidhaa zinazozalishwa nchini ili kuendana na ushindani wa masoko ya ndani na ya kimataifa. Kwa taarifa zaidi tafadhali wasiliana nasi kwa: hello@zana.co. Karibuni sana. Attachments social media jpg.jpeg 114.8 KB · Views: 24
Wadau mnakaribishwa kwenye haya mafunzo muhimu kwa ajili ya kuongeza thamani kwenye bidhaa zinazozalishwa nchini ili kuendana na ushindani wa masoko ya ndani na ya kimataifa. Kwa taarifa zaidi tafadhali wasiliana nasi kwa: hello@zana.co. Karibuni sana.
Maserati JF-Expert Member Jun 15, 2014 11,604 20,058 Jun 12, 2017 #3 Mmh. Wengine hatupo arusha. Asante kwa mwaliko.