Training on Packaging Technologoes: Michigan State University, TAHA and ZANA

tanganyika2015

Senior Member
Jul 14, 2012
141
124
Wadau mnakaribishwa kwenye haya mafunzo muhimu kwa ajili ya kuongeza thamani kwenye bidhaa zinazozalishwa nchini ili kuendana na ushindani wa masoko ya ndani na ya kimataifa.

Kwa taarifa zaidi tafadhali wasiliana nasi kwa: hello@zana.co.

Karibuni sana.
 

Attachments

  • social media jpg.jpeg
    social media jpg.jpeg
    114.8 KB · Views: 24
Back
Top Bottom