Trainig ya SQL Server 2008 Database Management | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Trainig ya SQL Server 2008 Database Management

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by bornagain, Mar 5, 2012.

 1. bornagain

  bornagain JF-Expert Member

  #1
  Mar 5, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 3,389
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Jamani nahitaji msaada wenu, mimi ni mfanya kazi wa kada ya Information Technology (IT). Natafuta institute au kampuni yoyote ile ndani ya Dar Es Salaam ambapo naweza kupata intense training ya SQL Server 2008 Database Management kwa muda wa siku tano na pia hiyo sehemu iwe inatoa certificate of attendance. Budget yake kwa siku tano hizo za training iwe kati ya milion 2.5 mpaka 3. Natanguliza shukrani
   
 2. Buswelu

  Buswelu JF-Expert Member

  #2
  Mar 5, 2012
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 1,989
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Nenda newhorizon centre hapo mnazi mmoja barabara ya bibi titi...karibu na hotel ya peack coke na Starlight....mie nilisoma SQL server 2005 two year ago wapata vyote unavyo taka...na ukitaka fanya na mitihani you can also...wishing all lucky.

  Buswelu.
   
 3. d

  dav22 JF-Expert Member

  #3
  Mar 6, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 1,902
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  if you need to be certified five days hazitoshi kabisa mkuu...inabidi hapo ugonge pdf vizuri kabisa..may be cjui unahitaji certification au unahitaji SQL basics??
   
 4. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #4
  Mar 6, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
  kuna kitu mpya sokoni SQL Server 2012
   
 5. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #5
  Mar 7, 2012
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  SQL server ina course nyingi ukisema tu database management ni too general. Traniing course zimetengwa kulingana na mitihani. Na hata kama unataka training tu nadhani kila moja inaweza kukucots zaidi ya siku saba na hapo ni kma una knowledge tayari ya Database. Unless shida iwe ni certifice of attenance lakini kama ni knowledge 3 days ni chache mno. Zaidi ya new horizon jaribu kuwacheki na Learn-IT. . Kwa huo mshiko wako huwezi kukosa.

  So nakushauri tafuta sub topic unayopenda kudeal nayo au kujua ili kwa hizo siku tatu upate nondo

  Mfano kuna
  SQL Server 2008 Administration ambayo ina


  [TABLE="width: 90%, align: center"]
  [TR]
  [TD="width: 55"][/TD]
  [TD]Maintaining a Microsoft SQL Server 2008 Database[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="width: 55"]
  [/TD]
  [TD]Implementing a Microsoft SQL Server 2008 Database


  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]


  Bado haijaingia sokoni ni promo tu na ndio nadhani promo rasi inafyika leo au kesho kwa mujibu wa wikipedia na bog kadhaa .
   
 6. bornagain

  bornagain JF-Expert Member

  #6
  Mar 7, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 3,389
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Sina jinsi ya kushukuru watu wa humu ndani for a very good ideas. Kusema ukweli kucover training kwa siku tano ni ngumu sana kupata knowledge yote. Lakini mimi natamani sana hata nikipata Microsoft Microsoft SQL Server 2008 Comprehensive introduction on:
  Microsoft SQL Server 2008 Database Development
  Microsoft SQL Server 2008 Database Implementation and Maintenance
  Microsoft SQL Server 2008 Database Administration
   
 7. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #7
  Mar 7, 2012
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Je do u already know something about Database Eg SQL statements, PRIMARY KEY, FOREIGN KEY RELTIONSHIPS,REFERENCIAL INTEGRITY. RBMS.


  Sababu MSQ server ni specific product maana yake una concentate na particulr product lakini before hujaanza hii specific itakuwa rahisi if u have general basic knowledge about haya mambo uiyotaja katika general database level . Kama huna basic knowledge Idadi ya siku itaongengezeka kiasi. May be kutoka one week to two or or three weeks each course

  wacheki hawa jamaa usikie terms zao kwanza.
  IT Training, Microsoft Training, Cisco Training, Computer Training, Certifications - New Horizons Computer Learning Centers
  .: LEARNIT :. Institute of Business, Information, Communication & Technology


  Au you can opt kutafuta na kudoowad video training nzuri. Zipo online ukazifuatilia na kusoma then ukishaewa unaenda kupata cheti kwa muda mchache( hata hizo siku tatu) na may be kwa pesa chache zaidi

  Mfano kiunganisho baadhi ya torrent ya video training kama una net fresh hiki hapa
  SQL server administration Tranining 5. 4 GB (More detailed)
  SQL Server Administtration 500 MB (light)

  Tafuta video za Train signal au VTC

  Kwa hela yako hiyo zaidi ya attendencee certificate lazima au wasisistizie wakupe na vitabu japo hivyo vitabu unaweza pia kuvipiata online. Itakusaidia hata ukimaliza
  [FONT=Verdana, Arial, Helvetica, sans-serif][/FONT]​
   
 8. Bosco Ntaganda

  Bosco Ntaganda JF-Expert Member

  #8
  Nov 11, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 551
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Hii kitu naitamani sana! Ngoja niipigie mahesabu tu
   
 9. bornagain

  bornagain JF-Expert Member

  #9
  Nov 12, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 3,389
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  What a coincidence, wote tunaitamani na wote tumejiunga na JF siku moja na zaidi wote ni wapiganaji na hatutalala mpaka kieleweke hata kwa mapinduzi ya kijeshi
   
Loading...