Trainee program-coca cola kwanza

tindikalikali

JF-Expert Member
Jan 14, 2011
4,855
1,117
Hivi kuna mtu ambaye ameshafanyiwa interview, ameshaitwa kuanza hii program. Kwangu mimi wiki mbili walizodai nisubiri zimeshakwisha, na kila ninayemuuliza{ninaowafahamu} wanadai hawajaitwa.
 
Back
Top Bottom