Mweusi Mweupe
JF-Expert Member
- Mar 21, 2017
- 333
- 322
Limeishiwa mafutaTreni ya TRL aina ya Deluxe imekwama hapa kaliua tokea saa 14:00 mchana mpaka muda huu. Halafu hakuna taarifa yeyote kuhusu kinachoendelea.
Lakini TRL hii 3,500/= mnayotoa ni posho ya chakula cha mchana, jioni, usiku au Kesho asubuhi?
Kila la heri kwa wote muichukiao CCM.
Jibu la mwaka hiloLimeishiwa mafuta
Hili linatumia kuni mkuu!Limeishiwa mafuta
Hiyo ndiyo SUMATRA, si wameona reli sawa kama shabibi tu.Treni ya TRL aina ya Deluxe imekwama hapa kaliua tokea saa 14:00 mchana mpaka muda huu. Halafu hakuna taarifa yeyote kuhusu kinachoendelea.
Lakini TRL hii 3,500/= mnayotoa ni posho ya chakula cha mchana, jioni, usiku au Kesho asubuhi?
Kila la heri kwa wote muichukiao CCM.
Duh.... Kwa hiyo zimeloana?Hili linatumia kuni mkuu!
Ila we jamaa hivi unafikili wote maisha tunaringana wengine ata kupata mia tano ni shughuli pevu sasa usimzarau anaetumia gari moshi kusafiriKwanini ume panda Treni badala ya bus au ndege?
Ukipenda vitu vya bei rahisi hayo na usumbufu ndio gharama yake
Sasa wasilalamike kwa kuwa nafuu ni ghaliIla we jamaa hivi unafikili wote maisha tunaringana wengine ata kupata mia tano ni shughuli pevu sasa usimzarau anaetumia gari moshi kusafiri
Pia wajue kuwa haijakwamishwa na ccm.Sasa wasilalamike kwa kuwa nafuu ni ghali