Trailer na Van kwenye misafara ya Rais

Kassina

Senior Member
Joined
Mar 3, 2018
Posts
133
Reaction score
133
Wakuu jana nilijitokeza kumshuhudia mheshimiwa Rais akiwa jijini Arusha, Uwanjani shehe amri abed Nilivutiwa na maonesho ya Askari wetu kwa Ujumla ila kitu kilichonivutia na Kutaka kukijua ni Uwepo wa kitu kama Trailer ndogo ivi halafu pembeni kuna Van yani aina gari je kifaa hiki kazi yake ni nini haswa? Kimeandikwa Caution High pressure
 
kuna van flan hivi hua anakuaga nayo kwenye shughuli zake mara nyingi hua naona kinawekwa sehemu wanakoingilia watu na magari nahisi ni kwa ajili ya ukaguzi wa silaha
 
kuna van flan hivi hua anakuaga nayo kwenye shughuli zake mara nyingi hua naona kinawekwa sehemu wanakoingilia watu na magari nahisi ni kwa ajili ya ukaguzi wa silaha
So inakuwa na scanners au?
 
Hiyo Kwenye Msafara Wa Kiongozi Ni Muhimu
Ni Ditector Ya Vitu Mbalimbali Eneo Analokuwepo
Inathibiti Mfumo Mzima Wa Mawasiliano
Hasa Hii Mitandao Ya Simu
 
Hiyo Kwenye Msafara Wa Kiongozi Ni Muhimu
Ni Ditector Ya Vitu Mbalimbali Eneo Analokuwepo
Inathibiti Mfumo Mzima Wa Mawasiliano
Hasa Hii Mitandao Ya Simu
Inathibiti kwa principles zipi mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…