Crocozilla
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 469
- 335
Ni kawaida sana kwa Traffic wanapomkamata dereva ana kosa kumtaka atoke ndani ya gari amfuate au konda amfuate na mara nyingi kwenye gari yao au chini ya mti.
Hii ni ishara mbaya sana na kwa kweli inajenga au kuhashiria maandalizi ya rushwa. Najua wote ambao ni madereva au hata kama wasafiri mnajua vema hili ninalojaribu kueleza.
Kuna habari hii hapa chini nimeipata mahali. Kama ni kweli ni hatua nzuri japo tumeshaliibia sana taifa;
"From Kamanda Mpinga na Jeshi la Polisi Usalama Barabarani
Kuanzia sasa ni MARUFUKU kwa kondakta au dereva wa bus, daradara au gari yeyote kushuka toka ndani ya gari na kwenda kuongea na Traffic pindi anaposimamishwa
Atatakiwa abaki ndani ya Bus or daladala na ataambiwa kosa lake huku abiria wote wakisikia na kama kuna adhabu ataitoa wakishuhudia"
Wewe unalionaje hili?