Trafiki polisi wa kichina Kariakoo

i411

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
906
290

Nimeona hii kutoka kwa kaka michuzi. Daa yaani mchina ametuzidi maarifa na uzalendo kariakoo kwanini wasiweke taa za barabarani hapo mahali. Au waheshimiwa hawapitagi hapo basi haka kavideo katawajulisha kaeneo.
 
Last edited by a moderator:
nchi ishauzwa hii

Napenda kukufahamisha tu, kuwa huyo si mchina wa leo wala jana Tanzania. Asili yake ni Mchina wa Unguja, vizazi vyake ni vya wachina waliobaki Unguja toka enzi na enzi na kwa muda mrefu sasa anaishi Kariakoo, kwa tunaoishi Kariakoo tunamfaham sana na ni mtoto wa mjini. Msikiti anaopendelea kuswali ni Manyema, karibu sana na hapo ilipochukuliwa hii video.

Kwa wasio mjua wataona ni ajabu lakini anafanya kitu cha maana sana kwa mwenye kuelewa.
 
Napenda kukufahamisha tu, kuwa huyo si mchina wa leo wala jana Tanzania. Asili yake ni Mchina wa Unguja, vizazi vyake ni vya wachina waliobaki Unguja toka enzi na enzi na kwa muda mrefu sasa anaishi Kariakoo, kwa tunaoishi Kariakoo tunamfaham sana na ni mtoto wa mjini. Msikiti anaopendelea kuswali ni Manyema, karibu sana na hapo ilipochukuliwa hii video.Kwa wasio mjua wataona ni ajabu lakini anafanya kitu cha maana sana kwa mwenye kuelewa.
Ahahah! Namjua huyo jamaa duka lake lipo pale mkunguni anauza jezi anapenda sana kutembelea baiskeli hamna mchina pale labda hawadanganye wakuja
 
Napenda kukufahamisha tu, kuwa huyo si mchina wa leo wala jana Tanzania. Asili yake ni Mchina wa Unguja, vizazi vyake ni vya wachina waliobaki Unguja toka enzi na enzi na kwa muda mrefu sasa anaishi Kariakoo, kwa tunaoishi Kariakoo tunamfaham sana na ni mtoto wa mjini. Msikiti anaopendelea kuswali ni Manyema, karibu sana na hapo ilipochukuliwa hii video.

Kwa wasio mjua wataona ni ajabu lakini anafanya kitu cha maana sana kwa mwenye kuelewa.

Kwa kuongezea tu kule unguja walikuwa na biashara kubwa sana ya kuuza Tambi. Na wengi tunawaita mchina tambi .
 
Kweli Faizal, unamjua ata china kwenyewe hajawahi kufika..Faizal nakupa ofa ya Mandi leo pale mtaa wa Udoe

Mandi ya wasomali ile, siipendi mie huwa naagiza orijino ya "mahadhramy" kutoka mtaa wa pemba. Kuna bibi mmoja wa kiarabu pale anapika mandi kwa order.
 
Umekumbusha mbali sana sana hizo mandi za Bi Zakhia wa Pemba kipande. MMh kweli Tanzania kuna maanjumati.
 
Mandi ya wasomali ile, siipendi mie huwa naagiza orijino ya "mahadhramy" kutoka mtaa wa pemba. Kuna bibi mmoja wa kiarabu pale anapika mandi kwa order.
Faizal, pemba kipande au pemba livingstone au pemba Lumumba? Ni PM namba yake ya simu nikiwa na shuhuli nifanye order
 
Ni Pemba karibu ya Lumumba, pale wanauza uza mirungi. Ntaku PM namba yake, ongea nae taratibu hata kiswahili hajui vizuri, unless kama unajuwa kiarabu haya tena...

Halafu ondoa hiyo L kwenye jina langu mie ni aidha Faiza au FaizaFoxy au FF.
 
Thanx Faiza nimekipata
 
Napenda kukufahamisha tu, kuwa huyo si mchina wa leo wala jana Tanzania. Asili yake ni Mchina wa Unguja, vizazi vyake ni vya wachina waliobaki Unguja toka enzi na enzi na kwa muda mrefu sasa anaishi Kariakoo, kwa tunaoishi Kariakoo tunamfaham sana na ni mtoto wa mjini. Msikiti anaopendelea kuswali ni Manyema, karibu sana na hapo ilipochukuliwa hii video.Kwa wasio mjua wataona ni ajabu lakini anafanya kitu cha maana sana kwa mwenye kuelewa.
Duu! ufafanuzi mpaka msikiti anaopenda kuswali!?
 
Back
Top Bottom