Trafiki Polisi wa Ki-Nigeria

Trafiki Polisi wa Ki-Nigeria

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,037
Reaction score
34,741
HAPA NCHINI TANZANIA KUNGEPATIKANA MADEREVA 6 TU KAMA HAWA NINA IMANI MATRAFIC WETU WANGEKUWA NA SHUGHULI PEVU HUKO BARABARANI


 
Last edited by a moderator:
Hii inaashiria umbali kati ya serikali na wananchi!. Sheria zinawekwa vitabuni kama mitego badala ya mioyoni mwa wahusika ili ziwe sehemu ya maisha.

Inaashiria kukithiri kwa rushwa na utendaji mbovu wa serikali hadi raia hawaoni umuhimu wa serikali naa serikali haioni uwajibikaji wake kwa watu kwa maslahi ya taifa.

Vitendea kazi hakuna na watu wako frustrated kama wendawazimu.

Lakini kama ccm ingeendelea na mfumo wake wa Piga tu bila kutumia akili, huko ndiko tulikuwa tunaelekea.
 
Back
Top Bottom