Trafiki Msata rushwa tupu

Ukikutana na wa mataa ya Morocco Dar ndio utalia kabisa!
 
Kwa hiyo ww ulitoa rushwa?! Sasa ataiweza vipi Kama ww umetoa rushwa ... Wanaume wa dar jamn nani kawaroga!!!???
 
Kwa hiyo unataka watu waanze kulipa 30000. Hawakulazimishi, ungetoa 30 mara mbili ukajenga nchi. Kuliko kutoa 10 ukajenga maisha yako. Maana hela tunazotoa serikalini kwa sasa matumizi anapanga mtu mmoja.
Wazungu wameendelea kwa kulipishana kodi, hata zaka na sadaka tunazotozana kwenye nyumba za ibada ni kodi za maendeleo. Tusiipotoshe jamii kuwa tunaweza kuendelea kwa kulipishana sh 5000
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…