naninibaraka
JF-Expert Member
- Oct 13, 2011
- 910
- 669
Ni mtanzania mjinga unayebambikiwa kosa la gari ambalo halipo na wewe unalipa.Kumekua na malalamiko ya muda mrefu wa traffic hususani wa Arusha, kubambikia watu makosa ya uongo, na kudai pesa lwa nguvu,na mara nyingine kutumia lugha zisizo na staha kwa wananchi, ina maana fines sheria za barabarani hazina onyo zaidi ya pesa? Au ndiyo mmekua kitengo maalumu cha kukusanya mapato kwa niaba ya TRA?
Arusha jeshi la polisi lina mapungufu makubwa. Nadhani wahusika watakuwa wanafahamu hili ulilolileta na hatua stahiki zitachukuliwa.Kumekua na malalamiko ya muda mrefu wa traffic hususani wa Arusha, kubambikia watu makosa ya uongo, na kudai pesa lwa nguvu,na mara nyingine kutumia lugha zisizo na staha kwa wananchi, ina maana fines sheria za barabarani hazina onyo zaidi ya pesa? Au ndiyo mmekua kitengo maalumu cha kukusanya mapato kwa niaba ya TRA?
Kaka fuata risiti pale traffic usikubali wakupe fake Mimi huwa siachi risiti ili tukose woteHali hiyo tumeizoea madereva wa Arusha. Mimi linalonikwaza nikuwa hawatoi risiti halali za Serikali.Kila askari mmoja anakitabu cha faini.Lakini risiti halali za Serikali hawatembei nazo.Hizo fedha zinfika kunako husika au ni za kubrash viatu?.