Kwa Tanzania nadhani trafiki wa Arusha ni kero balaa ukipita huko Moshono wapo kona mbele kilometer 2 wapo jamaa wa piki piki utawakuta kabla haujafika moshono standa unatoka tu hapo kabla ya kuvuka CR boma unakuta chini kwenye daraja bado mbele tena huko wapo kila 3 km mpaka unafika Impala pia wapo baada ya hapo wanakaa kabla ya kufika madini au mbele na pale kanisani wote hao ukiwa na siku mbaya watakusimamisha na kukuuliza ukaguzi wa leseni tu mtu anakusimamisha ili kukutafutia makosa mkorofishane akuandikie..