Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,367
- 100,408
Tabia za trafiki kukamata magari na kudai pesa katika siku za karibuni zimekithiri,tena Dar wamejazwa kila kona ni wengi,si ajabu wananchi nao wanaanza kuja juu,hiyo ni reaction!mengi yatafuatia as long as kuna action,reaction itaendelea kuwepo.Tujiulize,ni kwa nini vyombo vya sheria vikose ushawishi katika kuwaongoza wananchi kusimamia sheria?Hivi raia wameamua kuwa "toto tundu" ghafla tu,bila sababu?
Msichokiona watawala ni kuwa wananchi wakichoshwa na sehemu ya mfumo,wanauona mfumo wote mbaya!
Jk and co,hili jeshi lenu la Polisi litawaponza sana msipokuwa makini.Nawaangalieni tu,haya!
hahahahahaha
mpwa kofia naona ilishatangulia mbele ya haki kama sijakosea
hapo ni receipt na notification book peke yake ndivyo vilivyobakia.
Dear Graca Machel
You married Samora Machel & he died
You married Nelson Mandela & now he is dead!
In conclusion every man that you marry dies!
So
Please marry samuel sitta for us!
Yours Faithfuly
Tanganyika
HUYU JAMAA WA NYUMA AMETOA MACHO HUKU ANAMSOGELEA JAMAA ANATAKA NINI EMBU NISAIDIE MLIE KUWA KWENYE KASHESHE
sina kinena mkuu.
mpwa huyu jamaa alichelewa, kwa hiyo alikuwa anaomba njia apishwe afanye yake na yeye lakini alizuiwa kutimiza azma yake hiyo.
Mpwa huyu jamaa alichelewa, kwa hiyo alikuwa anaomba njia apishwe afanye yake na yeye lakini alizuiwa kutimiza azma yake hiyo.
Watz tumekuwa watu wa ajabu sana; hivi no ajabu binadamu kufanya makosa? Trafiki kama binadamu huchoka na hata kufanya makosa.
Nadhani waliompiga hawana akili, wanafanana na washabiki au wachezaji wa timu ya mpira wa miguu wanaompiga refa baada ya kukosea kutoa uamuzi sahihi. Waliohusika wanapaswa kuchukuliwa hatua kali kwa kumuabisha binadamu mwenzao kwa tukio la kibanadamu kabisa.
Vv
Unawachukia sana eeeh