Mandla Jr.
JF-Expert Member
- Dec 15, 2013
- 3,098
- 631
- Thread starter
-
- #41
ma trafiki wa Moshi niwasumbufu hata kama huna kosa wanataka kitu kdogo
Yuko mzee mmoja wa kipare anaitwa "Kilenga" ni maarufu sana mkoani kilimanjaro, huyo mzee ana magari (Kilenga Luxury) yanayopiga ruti za Arusha, Moshi, Tanga. Ikitokea trafiki akakamata gari yake basi huo ndo mwisho wa uhai wa huyo trafiki.
Trafiki alindwe na damu ya Yesu? Ataishije?
Trafiki alindwe na damu ya Yesu? Ataishije?
Faiza, mamboKifo ni kifo tu zingine zote ni sababu.
Inna li Llahi wa inna iLlayhi rajiun.
Kimsingi Polisi akikamata gari hapaswi kulipanda!!!
Sent from my iPhone using JamiiForums app
Faiza, mambo
Unatafuta urafiki na Faiza??? Kulikoni
Hii ndo sheria mkuu, mengine yote ya kujibizana na wewe ni siasa tu. Nini umuhimu wa "notification"?Kama haruhusiwi, atalipeleka vipi kituoni?? Sheria unazijua?
Kuna trafiki alikamata gari la mzee kilenga, watu wakamshauri aliachie akawa mbishi, kuanzia siju hiyo akivaa nguo za trafiki anawashwa karibu ya kufa, akivaa za kawaida mzima.
Dada mmoja trafiki nae alikamata akatokwa na bleed mfululizo bila kukoma wakamshauri akamtafute mzee mwenyewe, akampelekea zawadi ya sukari mzee akamshika kichwa dada akapona, siku yapili akaacha kazi