Shining Light
JF-Expert Member
- Jan 8, 2024
- 406
- 528
Wale traffic polisi wanatumia kile kidude kuita magari sijui ndio kinaitwa baton, Yaani amewasha nyekundu alafu anaita magari au amewasha kijani alafu anastopisha magari.. Mimi kwa kweli ninachanganyikiwa sana.
Kwani hawaja pewa elimu ya kukitumia?
Kwani hawaja pewa elimu ya kukitumia?