mchakavumlasana JF-Expert Member Joined Mar 9, 2011 Posts 389 Reaction score 213 Jul 7, 2012 #1 ama kweli leo sikukuu, hizi taa ziliwashwa kwa muda wa wiki moja tu.... Ila leo sikukuu ya sabasaba taa zimewashwa.... Sijui baada ya sabasaba zitawashwa tena lini, labda uhuru day........
ama kweli leo sikukuu, hizi taa ziliwashwa kwa muda wa wiki moja tu.... Ila leo sikukuu ya sabasaba taa zimewashwa.... Sijui baada ya sabasaba zitawashwa tena lini, labda uhuru day........
BADILI TABIA JF-Expert Member Joined Jun 13, 2011 Posts 32,766 Reaction score 23,230 Jul 7, 2012 #2 chezeya saba saba.....