Traficc torch zinafanyaje kazi?

Traficc torch zinafanyaje kazi?

Na je hakuna kifaa cha kuweza kuzuia isisome? #physics #

Kifaa kama kifaa ni ngumu maana ili gari lako lisisomekeke ni lazima kuwepo na kizuizi mbele ya gari lako,kama vile gari lingine au kona kali..lakini pia haikwezi kukusoma gizani..

Kuning'iniza CD pale mbele au kuwasha wipers havisaidii kitu..
 
Ukiwaona kwa mbali washa wippers......... kitu chali.......

Duh,umenichekesha kweli.Simple like that unakwepa faini ya Tsh30,000?Sasa hapo huoni issue ya timing itakuponza?
 
Duh,umenichekesha kweli.Simple like that unakwepa faini ya Tsh30,000?Sasa hapo huoni issue ya timing itakuponza?

Tochi haikamati number za gari unaweza kupita pale na ukakana.
 
Tochi haikamati number za gari unaweza kupita pale na ukakana.

zipo zinazo capture plate number pia. angalia kipindi cha UBU TBC1 . au kipindi chq AIBU YAKO HATA WEWE cha ITV wiki hii walisema wataonesha
 
Na je hakuna kifaa cha kuweza kuzuia isisome? #physics #

Mkuu pejohn kuna kifaa kinaitwa 360 degrees speed radar laser detector anti-police ila sijui kama ni halali kukimiliki kisheria.

s-l500.jpg
 
Kifaa kama kifaa ni ngumu maana ili gari lako lisisomekeke ni lazima kuwepo na kizuizi mbele ya gari lako,kama vile gari lingine au kona kali..lakini pia haikwezi kukusoma gizani..

Kuning'iniza CD pale mbele au kuwasha wipers havisaidii kitu..

Hakuna atakaeweza kukujibu hili swali sana sana watakwambia haiwezekani sababu wanafunzi wengi wa kitanzania huwa hawana uwezo wa kifikiria nje ya boksi maana sidhani kama kuna kitu kinachoweza kufanya ushindwe kuzuia, ni kama vile virus kwenye pc na anti virus, bongo wengi wana kariri na si ajabu mwalimu aliewafundisha mwenyewe hajui maana nae alikariri...
 
kile kifaa kina calcute ..spidi.upepo au mawimbi ambayo gar inakuja nayo. thn inazkonvert ktk km.....
so it only transferz kph za upepo 2 km per hour......thn watakwambia umezd kma wmb likja na kph kubwa.

kwa ufahamu wangu me me
 
I know the devil is in the details, how exactly is the Doppler shift measured? -Yours curiosity killed the cat.
 
Back
Top Bottom