Tusubiri hivyohivyo tutakuja mvua ikikoma tumefwata makoti
Magari hayaendi kisa kwenye junctions hakuna askari kuongoza magari
Magari hayaendi kisa kwenye junctions hakuna askari kuongoza magari
Ndo dawa ya madereva viburi wa mjini najua mmepigana pin wenyewe
nyie madereva jifunzeni kuheshimia mtumiapo barabara...
Tatizo kila dereva anajiona much know
Nanyie shukeni kwenye magari mkimbie jamMagari hayaendi kisa kwenye junctions hakuna askari kuongoza magari
Libebe gari lako kichwani.