Weeka koti la kivazi nyuma ya sitiNa pale Uwanja wa Ndege njia panda Segerea hawa wanatumia njia tatu ku-confuse watu mmoja anakuita utumie njia hiyo mwenzie anakudaka mbele na kukuletea za kuleta yaani we acha tu
Wakubwa wao nao pia wananufaika na hiyo michezoHabari wakuu, wakati sakata la rushwa kwa matrafik likiendelea nimewakumbuka Trafic 'wanaotega' kabla kidogo ya daraja la JKT Mlalakuwa (Wana kibanda chao pia pembeni). Ndugu zetu hawa asubuhi huzisimamisha daladala zote zinazoelekea Kawe kupitia Old Bagamoyo na kawaida huchukua 2,000 kwa kila daladala. Hizi ni daladala za Kawe-Gerezani, Mbagala-Kawe, Kawe-Tandika na nyinginezo.
Wakipiga mkono, daladala itasimama mbele kidogo na kondakta atashuka kwenda kumalizana nae, trafic hatalisogelea gari wala kulikagua. Zipo tetesi Trafic hawa hucheza 'upatu' wa 70 elfu kwa kila mmoja kutoka kwenye mapato yanayoletwa na makondakta.
Pamoja na utawala uliopita kuruhusu 'Hela ya kubrashia' rushwa ya barabarani haikuwahi kuwa wazi kiasi hiki.
Habari wakuu, wakati sakata la rushwa kwa matrafik likiendelea nimewakumbuka Trafic 'wanaotega' kabla kidogo ya daraja la JKT Mlalakuwa (Wana kibanda chao pia pembeni). Ndugu zetu hawa asubuhi huzisimamisha daladala zote zinazoelekea Kawe kupitia Old Bagamoyo na kawaida huchukua 2,000 kwa kila daladala. Hizi ni daladala za Kawe-Gerezani, Mbagala-Kawe, Kawe-Tandika na nyinginezo.
Wakipiga mkono, daladala itasimama mbele kidogo na kondakta atashuka kwenda kumalizana nae, trafic hatalisogelea gari wala kulikagua. Zipo tetesi Trafic hawa hucheza 'upatu' wa 70 elfu kwa kila mmoja kutoka kwenye mapato yanayoletwa na makondakta.
Pamoja na utawala uliopita kuruhusu 'Hela ya kubrashia' rushwa ya barabarani haikuwahi kuwa wazi kiasi hiki.
Kama Mimi konda natoa Buku 2 sisumbuliwi mpaka jioni? Shida yangu nini? Kapata 70,000 Kwa siku? Wala hainiumizi, nenda Kwenye kose ya Mbowe ujue hela kiasi gani zinachezewa, wacha wale!
70,000x 30 mwezi?.
Ukiwa trafiki alafu haujajenga wewe ni hasara
Who cares?
Aisee! Bado uko na hii video!!Wewe nae akili huna na ndiyo tatizo kubwa linaloikumba nchi hii.
Traffic wanatii maagizo ya boss wao huyu hapaπView attachment 2089107Sasa kosa la matraffic liko wapi?!WTF!!!
Wameagizwa kuwa wapate kutoka kwenye maeneo yao halafu wewe unaibuka na uzi wa kuwalaumu?Akili za wapi hizi?
Anawakeraaa na hii video yake yaanii kaigeuza signature!Aisee! Bado uko na hii video!!
Tupeane maujuzi la aina gani hilo njoo inbox tafadhaliWeeka koti la kivazi nyuma ya siti
Unaelewa hata maagizo ya Rais yana uzito na impacts kiasi gani kwa Taifa?! Unafananishi hii video na video za akina Msukuma au Babu Tale?Aisee! Bado uko na hii video!!
Move on.Unaelewa hata maagizo ya Rais yana uzito na impacts kiasi gani kwa Taifa?!Unafananishi hii video na video za akina Msukuma au Babu Tale?
Hizi centers kadri siku zinavyoenda zinaongezeka, wapo wanadai 5,000 siku hizi. Na kama zingekuwa haziwaumizi wasingekuwa wanabadili barabara sehemu wanazoweza kufanya hivyo.Kama Mimi konda natoa Buku 2 sisumbuliwi mpaka jioni? Shida yangu nini? Kapata 70,000 Kwa siku? Wala hainiumizi, nenda Kwenye kesi ya Mbowe ujue hela kiasi gani zinachezewa, wacha wale!