Domo Kaya
JF-Expert Member
- May 29, 2007
- 531
- 60
Yaani magari yanayotoka hii barabara ya kinondoni huwa yanachelewa sana kuruhusiwa, hivi kuna mtu anajua lolote jamani?? Trafic wanafanya makusudi au ndio sheria kuruhusu pande zote na kuisahau kinondoni rd, iwe asubuhi, mchana mpk jioni akikaa trafic tu basi balaa, kama hawawezi kutumia usawa waachie taa zifanye kazi yake, wanatutesa sana.