Traffic wanafanya nini MFUGALE FLYOVER?

Ile flyover haijaweza kukata kiu cha foleni ya pale tazara, mm binafsi nilitegemea kutokuwepo taa za kuongozea magari.
 
Ile flyover haijaweza kukata kiu cha foleni ya pale tazara, mm binafsi nilitegemea kutokuwepo taa za kuongozea magari.
Taa ni sahihi kama unatoka Ubungo kwenda Ukonga, na kuna mtu anatoka Ukonga kwenda Port si mtagongana?
 
Taa ni sahihi kama unatoka Ubungo kwenda Ukonga, na kuna mtu anatoka Ukonga kwenda Port si mtagongana?
Mfano rahisi kwako, ulishawahi kupita daraja la kigamboni?
Kama ndiyo, unielekeze taa zilipo
 
Nadhani kama sijakosea japo siyo mtaalam, pale Kigamboni kuna mwonekano wa interchange, pale Tazara we unadhani wangefanya nini?
 
Wanaingilia flow nzuri ya magari kutoka Ubungo na Port.
Ile siyo fly over ni daraja la juu halitoshelezi magari kwenda bila kuongozwa na taa au traffic. Kwa upande wa chini lazima kuwe na shida kwakuwa ukiwa kushoto ukitaka kwenda kulia au kulia kwenda kushoto lazima uongozwe na taa au traffic. Halijafikia hadhi ya kuachwa peke yake lile
 
Wanaingilia flow nzuri ya magari kutoka Ubungo na Port.

Kwani Wewe aliyekuambia kuwa hiyo barabara angani Mfugale ndiyo suluhisho la Kudumu la tatizo la Foleni Mkoa wa Dar es Salaam nani? Kwa wenye ' akili ' huwa hawaanzi Kwanza kutengeneza barabara za ' highways ' badala yake hujikita Kwanza katika Kuzitengeneza zile zilizopo ndani ' Feeder ' ambazo kama zingeangaliwa kwa ' Utaalam ' wa hali ya juu na zote zikafufuliwa na kuwekwa Lami usingeona foleni Jijini. ' Logically ' tu ni kwamba Foleni inakuwa Kubwa Dar es Salaam kwakuwa Watu wote wanaogopa kupitisha Gari zao katika zile barabara za ndani ndani ( Feeders ) kwakuwa ni mbovu hivyo matokeo yake wote wanajikuta sehemu moja wakitumia barabara Kuu moja.

Wazungu wakitucheka na kutuambia Waafrika ni Wapumbavu / Mapopoma tusiwe tunakataa au tunawanunia. Naomba niishie hapa tafadhali ila namlaumu mno Mwenyezi Mungu kuniumba Mwafrika japo najiona kabisa ilipashwa niungane na wenye ' akili ' wenzangu Wazungu na hasa Wayahudi ( Waisraeli )

Ukweli ni Mchungu lakini muukubali tu!
 
Kitega uchumi kile braza wapo wanakusanya mapato hali mbaya
 
Ile flyover haijaweza kukata kiu cha foleni ya pale tazara, mm binafsi nilitegemea kutokuwepo taa za kuongozea magari.
Ile ni mahsusi kwa wasafiri wanaotokea kwenye Mahotel city center kuelekea Airport
 
Taa ni sahihi kama unatoka Ubungo kwenda Ukonga, na kuna mtu anatoka Ukonga kwenda Port si mtagongana?
Hiyo ndio shortfall ya daraja. Taa ni lazima ziwepo. Ingekuwa interchange kusingekuwa na haja ya taa. Tuombe Ubungo/Sam Nujoma iwe interchange.
 
Mfano rahisi kwako, ulishawahi kupita daraja la kigamboni?
Kama ndiyo, unielekeze taa zilipo

NDUGU DARAJA LA KIGAMBONI HAKUNA CROSS YAANI NJIA NNE ZIMEKUTANA. TAZARA KUNA NJIA NNE ZILIZOKUTANA LAZIMA CHINI WAWEKE TAA
 
Hivi Hilo Jina Mfugale Wamelitoa Wapi? Na Lina Maana Gani?

Mfugale Ni Rafiki yake Bosi wa Muda mrefu tangu Bosi akiwa Ujenzi

Urafiki huo ukafanywa Urafiki wa Taifa

Mie Na Waswahili wenzangu tumekubaliana tuendelee kuita daraja la kigamboni Na Tazara flyover

Ule Uwanja wa Taifa Mpya Jakaya alikataa pendekezo la kupewa jina la Mtu akataka uzaliwe kuitwa Uwanja wa Tanzania

Nawaza Bwana Mkubwa alivyo hana suluhu Siku akimtumbua Mfugale pale Tanroads Sijui Utumbuaji huo utaenda sambamba Na Utumbuaji wa jina pa Flyover?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…