Jana azam media wametangaza stori kuhusu ubovu wa taa za kuongozea magari za isevya Tabora.Zimeharibika toka mwezi wa pili mwaka huu.Hii ni aibu,waziri anayehusika hebu nenda mwenyewe ukamuondoe yule meneja wa tanroads maanaajibu aliyotoa ni uzembe
Hivi huyo mkuu wa mkoa wa tabora,paul chacha,si alikuwa anaahidi milioni 100 eti ile timu ya tabora ikishinda,sasa kwanini halivalii njuga suala za hizo taa?