Traffic jam in India


amaa_Mbishi;
Nadhani umewahi ingia ndani ya duka lao, ati anakuuliza; Veve nini taka!! Si kwamba hakijui kiswahili. Ni dharau tu kwani hata Mswahili alisema; Maskini akipata matako hulia mbwataa. Aende kwao ndo atajua lipi jema. Tangu niwafaham, hawanibabaishi tena
 
Kama ndio hivyo basi mimi siwezi kwenda india hata kama wanasema wako vizuri sana kwenye maswala ya matibabu unaweza ukafia kwenye foleni halafu ikawa ni gharama nyingine tena.
 
Utakuta wanamagari hadi ya kupeleka mbwa clinic,wataacha kuwa na foleni.
 


Mkuu, nimeona na kushuhudia hizi dharau zao. Yote tisa ila jamani wahindi wana dhiki kishenzi, na wale walio hapa Bongo kule kwao India hawana thamani because waindi ndiyo jamii pekee inayoishi kwa caste system hapa duniani na ndiyo maana wanadharauliana sana. Kwa muda wa miaka miwili ya kusoma India kwa kweli nimeona mengi ya kustahajabisha, halafu hapa Bongo mswahili anatoka na muhindi koko anajilazimisha kuongea kihindi. Kwa kweli ni kichefu chefu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…