Consultant
JF-Expert Member
- Jun 15, 2008
- 11,400
- 20,676
Tupo kwenye foleni...two hours sasa. Foleni imeanzia Kibaha na huu mnyororo unaweza kuwa umefika mpaka Ubungo. Nimemuuliza traffic na anasema wanaandaa mazingira maana mzee anarudi kwake leo kutokea Dom. Unaweza kukuta hata Chalinze hajafika.
Tutapumua siku wote wakihamia Dodoma.
Tutapumua siku wote wakihamia Dodoma.