Traffic atekwa jijini Dar...!

Traffic atekwa jijini Dar...!

KATASAN'KAZA

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2013
Posts
3,097
Reaction score
1,356
Askari wa usalama barabarani ambaye jina lake halikufahamika ameokolewa na askari wenzake baada ya kutekwa na mwendesha bajaji, tukio hilo lilitoke barabara ya alihasan mwinyi maeneo ya sayansi.

Inadawa mwendesha bajiji aliposimamishwa alikataa kusimama ndipo askali huyo alidandia bajaji na kumlazimisha aende kituoni baada muda bajiji ilikimbizwa na kuanza kupelekwa kusikojulikana walipo katiza taa za sayansi polis huyo wa usalama barabarani alipiga kelele na kuokolewa na wenzake...huku mwendesha bajaji akihama njia kuu na kuchepuka na barabara ya LHRC.

Hapa ni wanausalama wa barabarani wakimthibiti mtekaji...
attachment.php
 
Hapa wakimdhibiti mtekaji.
 

Attachments

  • 1426874476470.jpg
    1426874476470.jpg
    60.3 KB · Views: 4,154
  • 1426874499089.jpg
    1426874499089.jpg
    55.6 KB · Views: 1,883
Kweli tuna jeshi dhaifu,Kama raia anaweza mteka askari, kweli haya matukio tunayoyaona ya polisi kushindwa kudhibiti mambo yanayotokea tutayaona sana
 
Mkuu acha kumuaibisha "tulafiki polisi" kwa kusema alipiga kelele kuomba msaada kwa wenzie.Sema "alitumia mambinu ya kiintelijensia"!Hata hivyo nimecheeeka sana mkuu!
 
ivi yule nurse wa mwananyamala aliyetekwa ashaonekanaa?
 
Waomba lift hao tumewachoka mjini na kofia zao
 
Mkuu acha kumuaibisha "tulafiki polisi" kwa kusema alipiga kelele kuomba msaada kwa wenzie.Sema "alitumia mambinu ya kiintelijensia"!Hata hivyo nimecheeeka sana mkuu!

Hahahaha...! Cha ajabu ni ukweli baada ya kuokolewa na wenziwe amesikika akisema kuwa hapa intelijensia imetumika huku raia wakimzomea ilikuwaje askari mzima anatekwa...!
 
Traffic wa kike au wa kiume??
 

Attachments

  • 1426888149127.jpg
    1426888149127.jpg
    29.3 KB · Views: 522
Back
Top Bottom