Goodluck Mshana
JF-Expert Member
- Aug 7, 2011
- 1,272
- 1,128
Msaada unahitajika kidogo hapa wana JF
Leo nimekamatwa na askari wa barabarani/trafic nikiwa natoka kwenye pilika zangu za maisha. Alinikamata kwa madai nilikuwa nipo speed/overdriving. Niliposimama akaniuliza Leseni nikatoa kumpa! Nilimpa nikisubiri majibu yake. Chakushangaza akaniambia nenda maana una haraka, kesho uje kulipa fine ndipo uchukue Leseni Yako!
Sikutaka mabishanao na yeye maana naheshimu utawala wa sheria. Sikutaka kuvutana naye maana niliheshimu kazi na umri wake. Nilitumia uungwana halisi wa Mtanzania kuondoka baada ya kugomea leseni yangu. Hakuwa ameniandikia nonification/charge yoyote ile. Alitengeneza mazingira ya mimi kumpa RUSHWA lakini kwa hilo kwangu niligoma. Hivyo akaamua kwa mamlaka aliyojipa kuhodhi leseni yangu!
Hivyo nawaombeni wasomi wa taaluma mbalimbali hasa sheria kunisaidi kwenye hili. Je, nifanyaje!? Kabaki na leseni yangu na sijaandikiwa kosa lolote?!