Saaaafi hilo neno dawa ya hawa ni kutoa copy za kutosha unakuwa nazo kwenye gari,akijichanganya unampa nakala alafu weweee huyoooo unasepa!!
Unampa leseni yako?anabaki nayo?!!!mbona tayari kafanya kosa!mropoti kwa trafiki Mkuu mpinga!naamini una namba yake ya kazi au ili mselfie ki aina?
Dawa yao tembea na leseni photocopy na akikuuliza wapi Original mwambie iko kwa tajiri issue closed!
Saaaafi hilo neno dawa ya hawa ni kutoa copy za kutosha unakuwa nazo kwenye gari,akijichanganya unampa nakala alafu weweee huyoooo unasepa!!
Saaaafi hilo neno dawa ya hawa ni kutoa copy za kutosha unakuwa nazo kwenye gari,akijichanganya unampa nakala alafu weweee huyoooo unasepa!!
Dawa yao tembea na leseni photocopy na akikuuliza wapi Original mwambie iko kwa tajiri issue closed!
Mkuu, hujui kwamba dereva unatakiwa utembee na leseni orijino na si fotokopi? Trafiki ukimpa fotokopi anaichana kisha anakudai orijino kama huna jiandae kumpa rushwa au uandikiwe notification.
Yote yanini si uendeshe kwa tahadhari, unapunguza mwendo kutokana na vibao ukikamtwa unaongea kama wenzio wanavyofanya ujuaji sana inakula kwako.
Wewee iscan tu vizuri unakuwa nazo,mm natembea na hizo hizo ndio huwa nawaachia manyoya nasepa na sio mara moja nimeshafanya hivyo mara kibao maana ni wapuuzi hawa!sijawahi tembea na orijino na sitarajii kufanya hivyo kamwe labda baada utawala wa baba riz kufika kikomo!
Mkuu, Wapi wanapofanya scanning inayofanana na license?