Tractor mpya zinauza bei nzuri!

G12

Senior Member
Aug 31, 2012
156
51
Wanajamvi, tunauza tractor mpya kwa bei nzuri:

Bonyeza hapa kuchagua tractor unayoipenda.

Bei zake zipo hapa:
1. 25hp hadi 35hp, bei yake ni USD3,535 hadi 5,292
2. 40hp hadi 55hp, bei ni USD5,993 hadi 8,100
3. 70hp hadi 85, bei no USD9,020 hadi 11,680.

Kwa taarifa zaidi tuwasiliane kwa e-mail na simu zetu

G12 International Co. Ltd.
 
Nimeshangazwa na magurudumu yake kama ya pikipiki, yatahimili kuingia mashambani kipindi cha mvua?
 
haya ni ya kihindi au ya kichina, wapi yametengenezwa? bei yake ndogo hadi inatia wasiwasi.....
 
hizo dola si ukauze hayo matractor marekani....wenzio huku tanzania tunatumia TSHS
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom