Tractor linauzwa 30mil

Tractor linauzwa 30mil

Aina gani ya tractor?
Tractor ni ya kilimo au kichwa cha lori?
Kama ya kilimo ni ya Hp ngapi?
4W?
Ni mpya au imetumika?
Pamoja na jembe?
Ya mwaka gani kama imetumika
Imefanya kazi masaa mangapi?
 
Back
Top Bottom