Tractor la kulima linahitajika Dar

Tractor la kulima linahitajika Dar

zegebovu1

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2013
Posts
415
Reaction score
135
Habarini wadau,

Kama heading ilivyojieleza, nahitaji tractor la kukodi kulimia hapa Dar. Kama kuna mtu anayefanya biashara hiyo please naomba mawasiliano yako, au kama kuna mtu mnamjua anafanya hayo mambo naombeni mawasiliano yake.
 
Kweli mjini watu hawalimi au, nami natafuta hiyo kitu embu kama uko weka number hapa

Back
Top Bottom