Tuko pamoja, Lazima mwaka huu tuwaumbue watawalaHii itanifaa kwa mama watoto nitamshonea mfano wa kahirizi maana anapendaga saana power bank(hirizi).
Zikifika nipe mrejesho.
Ziko za Implantation zinashonewa kwenye mwili, Tahadhari sanaUmefanya kosa kule huu uzi hapa, sasa sisi watekaji tunabadili mfumo, tukikuteka tunakupeka beach tunakuvua nguo zote kisha tunakupa nguo nyingine na malapa kisha tunaenda kukuficha, si mmmemuona roma kapatika na nguo tofauti na alizotekwa nazo? hamjajiuliza ni kwa vipi? ndo hivyo sasa, nyinyi kaeni na vi tracker vyenu tu vitawapeleka beach.
[emoji38] [emoji38] [emoji38] mkuu umeniacha hoi kabisa.Hii itanifaa kwa mama watoto nitamshonea mfano wa kahirizi maana anapendaga saana power bank(hirizi).
Zikifika nipe mrejesho.
Ina ukubwa wa CoinNjia rahisi ukijua unakaribia kutekwa chukua tracker yako tumbukiza chooni, ( nadhani naeleweka nikisema chooni) hata wakikuvua nguo zote wewe unakuwa online tu. ( sasa hiyo tracker isiwe kubwa kiviiile, itoshelee kwenye utumbo mpana)
Kama General galaduduUmefanya kosa kule huu uzi hapa, sasa sisi watekaji tunabadili mfumo, tukikuteka tunakupeka beach tunakuvua nguo zote kisha tunakupa nguo nyingine na malapa kisha tunaenda kukuficha, si mmmemuona roma kapatika na nguo tofauti na alizotekwa nazo? hamjajiuliza ni kwa vipi? ndo hivyo sasa, nyinyi kaeni na vi tracker vyenu tu vitawapeleka beach.
Nay wa mitego umemcheki DM?View attachment 493597
Nimeamua kuleta Trackers Tanzania nitaziuza kwa yoyote anayetaka.
Nichombo kidogo tu uanaweza kukishona kata kwenye belt ya Surrualia. Kinatumia GPS, kwa hio kwa kutumia Smartphone Mtu yoyote anaweza kukutrack na kujua uko Numba gani umefichwa.
Bei itakuwa 80000 Tsh. Anayetaka aseme June zitafika Tanzania
Kama hizi unazo powa, lakini juwa kuwa kuna hii kitu inaitwa signal jammer.Ziko za Implantation zinashonewa kwenye mwili, Tahadhari sana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hii itanifaa kwa mama watoto nitamshonea mfano wa kahirizi maana anapendaga saana power bank(hirizi).
Zikifika nipe mrejesho.