wakuu nimenunua laptop na ningependa ikitokea ikaibiwa niweze kuipata tena,nifanyeje?kuna software au setting?
Nakushauri fanya simple Risk and security analysys ya ya hiyo laptop ili uweze utambua na kugudua chanzo
- THREAT na WEAKNESS ya hiyo laptop kubiwa
- Probability ya kila risk ya kutokea
Once laptop ikiibiwa kuipata ni bahati ndogo sana Atleat simu inagaw ana yenyewe mtu aki format au akiuza nch nzi nyingine e nayo ni ngumu. Laptop mtu anaweza asiformat na akawa jirani yako na bado usijue.
So badala ya kuwekeza maarifa ya kuipata ikiibiwa wekeza maarifa a nguvu zako isiibiwe. Since ikishaibiwa kuipata probality yae ni 0.001 . Imean
PREVENT it isiibiwe. Once ikiibiwa basi
Vile vile.
Make sure uanjilinda na threat halisi na real. usije ukaconcetrate na Wizi phyical ukukuta siku umeaicha latop sehemu baadae unakuta laptop inelea kwenye maji. au unaitumia sehemu amabayo laptop haipumui vizuri na hivyo ku over heat. MWisho wa siku latop haiibiwi lakini inakufa mapema.
But kama laptop yao ina madoc kama ya CIA na MOSAD nadhani unaweza kuiwekea ka
GPS. Au unaweza kwenda kwa wale jamaa wa GROUP 4 na ulimate security wakupe ushauri na huduma zao kwa gharam ya kila mwezi.
Ukisoma kuna ku google study za security na risk analysi ya laptop kuibiwa ni kesi chache kesi nyingi ni
Utunzaji.
Anyway ngoja wataalam waje watoe nondo.