daniel enocy
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 380
- 413
Hivi zile nafasi mia sita za tra za wale diploma ziishia wap
Bongo kama Huna connection ni ngumu kupata ajira, unless uwe na Mungu tena anayejibu kwa Moto.Walishaitwa ndugu na walipigwa trainee ya wiki 4 tu na walioitwa hawafiki hata 20... Yaani kama ulikuwa na mtu ndi fasta kama huna basi tena...