ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 79,084
- 84,978
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imeshusha kiwango cha Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT) kwa biashara ndogo kutoka asilimia 18 hadi asilimia 16, ili kuhamasisha ukusanyaji wa mapato kupitia malipo ya kielektroniki badala ya miamala ya fedha taslimu.
Kamishna Mkuu wa TRA, Yusuf Mwenda, alisema hayo jana jijini Dar es Salaam wakati wa uzinduzi wa kampeni ya elimu kwa walipakodi, akizungumza na wafanyabiashara, wadau na wahariri wa vyombo vya habari.
Amesema uamuzi huo ni muhimu kwa kuwa utapunguza gharama za ununuzi wa bidhaa kwa wamiliki wa biashara ndogo kwa asilimia mbili, jambo linalotoa nafuu kubwa.
Chanzo: The Guardian
My Take
SSH ndio Rais anayejali watu waliojiajiri na kuhimiza kujiajiri na kulipa Kodi Kwa hiari.
Samia anatakiwa kulindwa Kwa wivu mkubwa.
View: https://www.instagram.com/p/DNIdir-MxA7/?igsh=MW5tcDhxZDdsM2VleA==