TRA yamkana Ngeleja, yasema kazi yake ni kukusanya kodi

Nchi ya maajabu hii: ....unajua kila malipo unayolipa TRA ni lazima yawe na reference number!? Aidha unalipa ushuru ni lazima wakupe control number, unalipa kiwanja lazima kiwe na reference, PAYE ina reference pia nk. Ndio maana huwezi kulipa adhabu ya trafiki kama kodi zingine hata kama ni kwa kutumia simu au Maxmalipo. Sasa Ngeleja alizilipa kwa reference hipi na zikapokelewa vipi kabla ya kukataliwa.
Na je, baada ya kukataliwa (kumbuka zilikaa kama week hivi) walimrudishiaje ...walimpa cheki au ilikuwaje hasa!?
 
Back
Top Bottom