TRA wanaweza ku-monitor utoaji wa risiti za EFD (wafanyabiashara wakubwa tu) kwa kutumia wireless CCTV cameras??????

Infantry Soldier

JF-Expert Member
Feb 18, 2012
15,893
16,317
Shikamooni wakubwa zangu wote wa humu jamiiforums. Mimi mdogo wenu Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya.

Eti inawezekana kwa TRA ku-monitor utoaji wa risiti za EFD (wafanyabiashara wakubwa tu) kwa kutumia wireless CCTV cameras??????

Kama ambavyo mfanyabiashara ananunua EFD machine, ndio ambavyo anahitajika kufunga CCTV camera au mbili kisha TRA wanakuwa na monitoring room???

OUR MOTTO
==========
KIJANA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. JIULIZE UMEIFANYIA NINI LA MAANA NCHI YAKO MPAKA SASA???
 
Wafanyabiashara wakubwa hawana shida kwenye suala la risiti kama unavyofikiri; wao malipo yao yote yanafanyika kupitia mfumo wa kibenki hiyo lazima wayaingize kwenye hesabu zao na kulipa kodi stahiki. Hata supermarket kubwa kubwa hazina shida; shida iko kwenye hawa wafanyabiashara wachuuzi (retail shops) maana wao hulipwa pesa taslimu hivyo kuwa rahisi kukwepa kodi kama hawakuitolea risiti
 
Wee mnokooo
 
Kuna solution Nzuri tu ya kumonitor utoaji wa EFD risit bila CCTV mkuu,China ,India ndo wanatumia sana pamoja na South Africa
 
Shikamooni wakubwa zangu wote wa humu jamiiforums. Mimi mdogo wenu Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya.

Eti inawezekana kwa TRA ku-monitor utoaji wa risiti za EFD (wafanyabiashara wakubwa tu) kwa kutumia wireless CCTV cameras??????

Kama ambavyo mfanyabiashara ananunua EFD machine, ndio ambavyo anahitajika kufunga CCTV camera au mbili kisha TRA wanakuwa na monitoring room???

OUR MOTTO
==========
KIJANA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. JIULIZE UMEIFANYIA NINI LA MAANA NCHI YAKO MPAKA SASA???
Watakuwa na screen au watu wangapi kuangalia transactions zote zinazofanyika kwa siku?
 
Wafanyabiashara wakubwa hawana shida kwenye suala la risiti kama unavyofikiri; wao malipo yao yote yanafanyika kupitia mfumo wa kibenki hiyo lazima wayaingize kwenye hesabu zao na kulipa kodi stahiki. Hata supermarket kubwa kubwa hazina shida; shida iko kwenye hawa wafanyabiashara wachuuzi (retail shops) maana wao hulipwa pesa taslimu hivyo kuwa rahisi kukwepa kodi kama hawakuitolea risiti
Mkuu, ninamaanisha wakubwa kama mwenye hardware shop capital ya 200M. Simaanishi watu kama MeTL ama AZAM group
 
Shikamooni wakubwa zangu wote wa humu jamiiforums. Mimi mdogo wenu Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya.

Eti inawezekana kwa TRA ku-monitor utoaji wa risiti za EFD (wafanyabiashara wakubwa tu) kwa kutumia wireless CCTV cameras??????

Kama ambavyo mfanyabiashara ananunua EFD machine, ndio ambavyo anahitajika kufunga CCTV camera au mbili kisha TRA wanakuwa na monitoring room???

OUR MOTTO
==========
KIJANA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. JIULIZE UMEIFANYIA NINI LA MAANA NCHI YAKO MPAKA SASA???
Physical controls ni ngumu sana. TRA atahitaji wafanyakazi wengi sana kufuatilia. Kanuni mojawapo ya kodi ni kuwa gharama ya kukusanya iwe ndogo sana ukilinganisha na kodi inayokusanywa. Hili unalopendekeza kuna uwezekano mkubwa likaenda kinyume na kanuni hiyo. Serikali na TRA wawekeze zaidi kwenye kutoa elimu ya kodi na pia kuweka mazingira yanayovutia watu kutii sheria bila shuruti. Ni controls chache sana zinaweza kufanya kazi katika mazingira ambayo kuna collusion kwenye system husika. Muuzaji na mnunuzi wanapoamua ku collude katika kukwepa kodi, hakuna namna serikali inaweza kuzuia kwa urahisi.

Ukwepaji wa kodi (kutotoa au kutodai risiti), zaidi ni symptom ya underlying problem katika jamii yetu. Sasa tukihangaika kutibu dalili za ugonjwa badala ya ugonjwa wenyewe....hatuwezi kufanikiwa. Ni sawa na mtu mwenye malaria anaposikia kuumwa kicha kama dalili....akiamua kumeza dawa za maumivu ili kutuliza kichwa kuuma, ni kweli kitapoa lakini eventually atakufa kama malaria aliyonayo haitatibiwa kwa haraka.
 
Kwani gharama za EFD machine anabeba nani?
Hivyo ni vitu viwili tofauti kwa muktadha huo serikali ndio itabeba gharama mfano mtu ana maduka matatu zinaitajika camera 3 na vifaa vyake ina maana serikali lazima isimamie mfumo mzima wa mawasiliano sio jambo rahisi au haiwezekani serikali ina vyanzo vingi vya taarifa ukikwepa kodi itajulikana
 
Mkuu, ninamaanisha wakubwa kama mwenye hardware shop capital ya 200M. Simaanishi watu kama MeTL ama AZAM group
Kwani lazima malipo yafanyike dukani? Wenzetu Kenya wao hata ukinunua Chips kavu; kwanza unalipa, unapewa risiti ndiposa upewe chips zako; wao wamezoea ila kwetu bado sana hasa biashara kama Ba na Restaurant
 
Back
Top Bottom