Huyo jamaa kuna mahela yako benki Sasa wanatafuta sababu ya kuzipiga. Si ajabu mpaka sasa akaunti zmeshapigwa block.Umenena vyema japo wapo wakulima wa aina nyingi. Huwezi kusema sumry Ncha Kali aliyelazimika kuachana na biashara ya mabasi akaingia ktk kilimo hana uwezo wa kusubiri bei!!!!! Vivyohivyo kwa mtoto wa mkulima mr kayanza.
Huyo unaye ona kalimwa barua ujue TRA wamesha fuatilia mwenendo na wanajua anaendeshaje kilimo chake. Tusicho kijua ni kwamba huwenda pia wamesha nusa mamilioni kwenye account yake.
Kumbuka hao jamaa hawajihangaishi bila kunusa kuwa mahala fulani wanaweza kupata chochote. Ukisha sikia kaambiwa miaka mitatu ujue mamilioni yanamhusu.
Kumbuka ya st. Jude school.
Stalin: Anayewaweka madarakani si mpiga kura bali mhesabu kura!Utawaonea tu watu wa Mungu.
Anayechagua mwingine, lawama umpe mkulima?
Labda na huyu wameshachungulia accounts zake wameshaona salio. Afanye chap ahamishe hiyo hela maana atakwenda kutupwa ndani na accounts zitazuiliwa.
Kwani serikali inabiashara gani?serikali inategemea hela yakufanya mipango yake kutoka kwa wanancgi kwanza ndo kisha iwajengee huo uwezo unaoutaka wewe.Serikali imewajengea uwezo hao wakulima unaosema wanatakiwa kuijenga nchi yao?
Mjini TRA imekuwa kero pesa nyingi zinaishia mifukoni mwa watendaji wa TRA Serikali haipati kitu na sasa TRA wanahamia kwenda kuiba pesa za wakulima lakini uchumi wa Nchi uvurugikeHawa TRA wanapoelekea sasa ni too much, watu wataogopa kufanya kila kitu nchi hii mbona uchumi utakufa kabisa na pesa zao wataondoa benki.
Serikali wanavyofanya ni unyan'ganyi, mnawatisha sana hawa watu.
Kama ya mr kuku jiulize walikuwa wapi wakati anafanya matangazo kabla hajafikisha B1 kwa nini walisubiri zifike B5?Naona wafanyabishara wengi Sasa hawatatumia bank kufanya transactions.. Ni mwendo wa kurundika pesa ndani yaani huyo utakuta wameona bank account inasoma mkwanja mkubwa.
Adi wana kuletea barua watakuwa wamesha ipiga pinLabda na huyu wameshachungulia accounts zake wameshaona salio. Afanye chap ahamishe hiyo hela maana atakwenda kutupwa ndani na accounts zitazuiliwa.
We kula kulala utajua nini!?Uzuri upotoshaji mara nyingi huwa upo kwenye media tu hasahasa social media tu.
John piga kazi usigeuke nyuma.