Ni wakulima wa kiwango gani wanatakiwa na TRA?
Ila wakati wa kampeni Kuna mtu alipokelewa kwa kishindo Karatu. Isije kuwa kubambikiziana kodi
Hii ni nzuri maana sio CHADEMA na ACT tuu bali tuko wote.
Ni kweli safari hii hawakuwa na nafasi, maana waliamua kutangazana tu wewe umeshinda na kura zako hizi!Utawaonea tu watu wa Mungu.
Anayechagua mwingine,lawama umpe mkulima?
Wewe umeshindwa nini kuelimisha hao wakulima, mbona mpo wengi kuliko sisi mmeshinda 80% na bado mnalilia support ya wachache.Ndo maana tunasema tanzania upinzani ulishakufa ,hivu hii nguvu mnayoitumia kuonesha wakulima wazalendo watanzania kuwa wanaonewa na serikali yao, kwanini msingeitumia kuwaelimisha umuhimu wa kuchangia au kulipa kodi kwa moyo mkunjufu maana wao ni jukumu lao kujenga nchi sababu ni watanzania na nchi haiwezi jengwa na na watu wa nchi jirani?
Watamtaja nani aliemtoa kanga manyoyaWalima mpunga/walimbikizaji wa magunia ya mpunga huku mkisubiri bei jiandaeni
Tumeitaka wenyewe, wacha ipenye tuiskizie
Awamu hii hatutakubali kama vipi tutajoin forces with IS wa Msumbiji kuzilinda korosho & gesi yetuWakulima wa korosho jipangeni, Jiwe anawamulika kwa karibu sana
m5 TENA
Ngoja tuache kulima ili waagize kutoka Brazil.
Na kodi ya baiskeli wasisahau pia.warudishe kodi ya kichwa tuanze kunificha maporini