Wana jamvi samahani lakini naomba mnijuze. Eti kati ya mashirika hayo matatu ni lipi linaongoza kwa kulipa mshahara mnono kwa wafanyakazi wake pamoja na marupurupu mengine. Akhsanteni
Muuliza swali huwezi kupata jibu kwenye swali lako maana you are too general, ungeuliza hivi nikiwa chief Finance Officer katika mashirika ya TRA, TANAPA na NSSF wapi naweza kupata mshahara mkubwa?