TRA tunataka tiketi za EFD tamasha la Fiesta mwaka huu

Midumare Ngatuni Iwato

JF-Expert Member
Jul 13, 2016
1,656
2,000
Pia nashauri mahotel yale tunayokula sisi abiria mfano korogwe pia watoe vat muhimu sana juzi nimeuziwa pilau nyama 7000,ila serekali haijapata chake pia tiketi za mabasi ni muhimu sana zitumie tiketi zitakazokuwa zinalipia Vat muhimu sana hapo ndio tutawaweza matajiri hao kwani hawatakwepa kuongeza nauli wakati mwisho wa mwaka.pia serekeli inapoteza kodi kubwa sana kwa madreva wa malori na mabasi ya masafa marefu wanapaswa kuwa katika ajira kamili ili serekali ipate kodi hapo
 
nyamalagala

JF-Expert Member
Jun 5, 2016
743
1,000
Natamani huu Uzi ungesomwa na watoa matamko ya kukurupuka kisha walinganishe hoja zao wanaojiita wenye mamlaka wakati vitu vya msingi vipo na wakivishupalia hivi nchi itaelea juu ya maendeleo kuliko upuuzi wao wa matamko uchwara yasiyo na tija kwa wananchi zaidi ya kuuza sura kwenye ngamizi.Nashauri hata wauza magazeti watumie EFD kupata malipo kutoka kwa wateja,tujenge nchi pamoja.ni hayo tu wakuu.
 
Levictus

JF-Expert Member
Aug 16, 2014
646
500

Hivi "ngamizi" ndio TV?
 
NDI NDI NDI

Senior Member
May 30, 2016
123
225
Mwisho wa siku mzigo wote wa kodi unamwangukia mlaji wa mwisho ambaye ni mm na ww kwani wafanyabiashara km kawaida yao wanataka faida tu....mfano hai makampuni simu na mabenki.
 
FM stereo

JF-Expert Member
Oct 8, 2011
206
225
Pia nashauri mahotel yale tunayokula sisi abiria mfano korogwe pia watoe vat muhimu sana juzi nimeuziwa pilau nyama 7000,ila serekali haijapata chake pia tiketi za mabasi ni muhimu sana zitumie tiketi zitakazokuwa zinalipia Vat muhimu sana hapo ndio tutawaweza matajiri hao kwani hawatakwepa kuongeza nauli wakati mwisho wa mwaka.pia serekeli inapoteza kodi kubwa sana kwa madreva wa malori na mabasi ya masafa marefu wanapaswa kuwa katika ajira kamili ili serekali ipate kodi hapo
Dar xpress highway na kilimanjaro motor way wanatoa risiti za EFD hata usipoomba, hadi chai ya buku wanatoa risiti.... We mwenzetu ulikula wapi??
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom