TRA SİRARİ Nİ MAJİPU

Supu ya kokoto

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
4,114
7,471
ni mara kwa mara wananchi wa sirari mpaka ulio kati ya kenya na tanzania wamekuwa wakilalamika kuhusu WAFANYAKAZİ WA TRA kwa kuwadhulumu wafanyabiasbara wadogo wadogo kwa kuwatoza kodi kubwa ama kuwakamatia mizigo bila sababu za msingi.
MFANO MZURİ Nİ MWANANCHİ KUKAMATİWA MAHİNDİ YA KULA GUNİA TANO ALİZOKUWA ANASAFİRİSHA KWENDA KUTUMİA YEYE NA FAMİLİA YAKE.
AKATOZWA FAİN YA 2000000/= kwa mahindi ya 400000/=
so WAHUSİKA TUSAİDİEN MAANA WANAWALİNDA WAFANYABİASHARA WAKUBWA KWA KUWASAİDİA KUVUSHA MİZİGO BİLA KODİ İLHAL WAKO BİZE KUNASA VİDAGAA.
nawasiklisha
 
Back
Top Bottom